Monday, June 24, 2013

Raisi wa Ac Milan kwenda jela kwa penzi la binti U18

Raisi wa Ac Milan na Waziri mkuu mstaafu wa Italia Silvio Berlusconi amehukumia kifungo cha miaka saba jela baada ya kutuhumiwa kuomba kufanya mapenzi na Karima El Mahroug ambaye alikuwa na umri wa miaka 17. Berlusconi amehukumiwa kifungo hiki kwasababu sheria za Italia haziruhusu msichana mwenye umri chini ya miaka 17 kulipwa pesa ya ngono. Berlusconi alikifanya kitendo hiki mwaka 2010 baada ya kumpatia Karima kiasi cha Euro 33,000 kwa nyakati tofauti ili kumshawishi msichana huyo akubali kufanya naye mapenzi. Berlusconi amepewa kipindi kisichozidi mwezi mmoja ili kukata rufaa ya hukumu hiyo na akishindwa kukata rufaa ndani ya kipindi hicho itambidi aingie jela kwa miaka saba. Poleni wana Ac Milan!!! 
Karima+el+mahroug+ruby+photos
Karima El Mahroug binti wa Kimoroko aliyehusika kupewa pesa ya ngono na raisi wa Ac Milan, Berlusconi. 

No comments:

Post a Comment