Monday, June 24, 2013

Kwanini Man United wanataka kumsajili Thiago??

Angalia video hii ili kuona kipaji alichonacho mchezaji wa Barcelona Thiago Alcantara ambaye kwasasa anahitajika na klabu ya Manchester United. Man utd wanamuhitaji Thiago ili kuimarisha safu ya kiungo ya klabu hiyo ambayo imeonekana kulegalega, ila taarifa zilizopo hadi sasa ni kwamba Man utd wameshakubaliana na Thiago ila bado wanafanya mazungumzo na Barca ili kufanikisha rasmi usajili. 

Mcheki Thiago Alcântara do Nascimento

No comments:

Post a Comment