Friday, June 7, 2013

Balotelli na hasira za kitoto baada ya kupewa red

Mshambuliaji wa Italia, Mario Balotelli jana alipewa kadi nyekundu katika mechi kati ya Czech na Italia kwa kumpiga usoni na kiganja cha mkono beki wa Czech Theodore Gabre Selassie. Baada ya kupewa kadi hiyo Balotelli alionesha hasira zake kwa kupiga milango na kuta za kiwanja hicho ndani ya kiwanja jambo lililotafsiriwa kuwa ni utoto. Mechi hii ilikuwa ni ya kufuzu kombe la dunia ambayo ilikwisha kwa droo ya bila kufungana.

Angalia tukio zima la Balotelli 

No comments:

Post a Comment