Wednesday, June 5, 2013

Wachezaji 12 waliopo sokoni msimu huu

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 12 waliopo kwenye soko hivi sasa, ni muda tu unaongojewa kwa wachezaji hawa kukamilisha mipango ya kuhama kwenye klabu zao na kujiunga na klabu wanazohusishwa nazo kuhamia. Orodha hii imehusisha majina na klabu wanazotaka kuhamia pamoja na bei za wachezaji. Taarifa hii inatoka kwenye gazeti la SunSport la nchini Uingereza

Isco
Isco wa Malaga, anahitajika na klabu ya Man city, PSG na Chelsea, bei yake ni paundi mil 27
Wayne Rooney
Rooney wa Man utd, anahitajika na klabu ya PSG, Arsenal na Chelsea, bei ni paundi mil 30
Cesc Fabregas
Fabregas wa Barcelona, anahitajika na klabu ya Man utd, Man city na Arsenal, bei yake ni paundi mil 35
Gareth Bale
Bale wa Tottenham, anahitajika na klabu moja tu Real Madrid kutokana na bei yake kuwa juu ya paundi mil 80
Luis Suarez
Suarez wa Liverpool, anahitajika na klabu ya Madrid, PSG, Juventus na Atletico Madrid, ada yake ni paundi mil 40
Edinson Cavani
Cavani wa Napoli, anahitajika na klabu ya Man city, Chelsea na PSG, ada ni paundi mil 54 
David Moyes and Leighton Baines
Baines wa Everton, anahitajika na klabu ya Man utd, ada yake ni paundi mil 15

At home: Barcelona striker David Villa says he wants to stay in Spain next season
David Villa wa Barcelona, anahitajika na klabu ya Arsenal na Tottenham, ada yake ni paundi mil 14
Christian Benteke
Benteke wa Aston Villa, anahitajika na klabu ya At. Madrid, Liverpool na Tottenham, ada yake ni paundi mil 17.5
David Luiz
Luis wa Chelsea anahitajika na klabu ya Barcelona na Napoli baada ya tetesi kuwa Mourinho hamtaki, ada yake ni paundi mil 35.
Wesley Sneijder
Wesley Sneijder wa Galatasaray anahitajika na klabu ya Chelsea kutokana na mpenzi ya Mourinho kwa mchezaji huyu, ada yake ya uhamisho ni paundi mil 7

On alert: Barcelona have put Thiago Alcantara up for sale piquing the interest of several clubs across Europe
Thiago wa Barcelona anahitajika na klabu ya Man utd, Bayern Munich, ada ni paundi mil 20

No comments:

Post a Comment