Wednesday, June 26, 2013

Cheki Serena alivyoanza kwa kasi Wimbledon

Hii ni mechi aliyocheza na Mandy kwenye raundi ya kwanza ya Wimbledon, alishinda kwa seti mbili mfululizo 6-1,6-3. mechi inayofuata atacheza na Caroline Garcia kesho (27 Juni) 

No comments:

Post a Comment