Monday, June 3, 2013

Mwakilishi wa Afrika, Nigeria ipo kundi la kifo

Michuano ya FIFA confederation cup inatarajiwa kuanza tarehe 15 mwezi huu hadi tarehe 30 nchini Brazil huku timu ya Nigeria ambaye ni mwakilishi wa Afrika ipo kwenye kundi la kifo. Michuano hii huwakutanisha mabingwa wa mabara yote na bingwa wa kombe dunia, licha ya kuwa bara la Ulaya linatoa timu mbili ambazo ni bingwa wa bara na mshindi wa pili. Michuano hii itafanyika kwenye viwanja sita, viwanja ambavyo pia vitatumika kwenye michuano ya kombe la dunia mwakani, viwanja hivyo ni  Estádio Mineirão, Estádio Nacional, Estádio Castelão, Arena Fonte Nova, Estádio do Maracanã na Arena Pernambuco. Makundi ya michuano hii ni kama ifuatavyo. 

GROUP A
TeamMPWDLGFGAPts
Brazil0000000
Japan0000000
Mexico0000000
Italy0000000


GROUP B
TeamMPWDLGFGAPts
Spain0000000
Uruguay0000000
Tahiti0000000
Nigeria0000000

No comments:

Post a Comment