Wednesday, June 19, 2013

Falcao anatarajia kuwa baba mwaka huu

Doting daddy: Colombian footbalelr Radamel Falcao was seen cradling his pregnant wife Lorelei Taron's baby bump on Monday as pair enjoyed a dip in the sea in Miami
Mshambuliaji mpya wa Monaco Radamel Falcao anatarajia kupata mtoto mwaka huu baada ya mkewe kuonekana na uja uzito wakati walipokuwa kwenye fukwe za Miami nchini Marekani. Picha inaonesha Falcao akimpa mazoezi mkewe ili kujenga afya njema kwa mama na mtoto. Safiiiii  

No comments:

Post a Comment