Sunday, June 23, 2013

Kobe Bryant auza sura na Balotelli na Neymar

Staa wa Basketball Kobe Bryant jana usiku aliomba kuingia ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ili aweze kupiga picha na Balotelli na Neymar baada ya mchezo kati ya Brazil na Italia kuisha. Bryant alisema anawazimia sana wachezaji hawa ndiyo maana alipenda kupiga nao picha na kuwarusha kwenye akaunti yake ya Twitter.  

Say cheese: La Lakers star Kobe Bryant met Mario Balotelli after watching the Confederations Cup
Kobe (kulia) akiuza sura na Mario Balotelli. Balotelli akiwa kiwanjani anaonekana ni mchezaji mrefu kuliko wote, lakini kwa Kobe anaonekana mfupi licha ya kuvaa kofia.
Little and large: Bryant also posed with Brazil superstar Neymar, who scored in his side's 4-2 win
Kobe (kulia) akiwa na Neymar 

No comments:

Post a Comment