Monday, June 3, 2013

Man city yamsajili winga wa Sevilla Jesus Navas

Klabu ya Man city imefanikiwa kumsajili winga wa Sevilla na timu ya taifa ya Hispania Jesus Navas kwa paundi mil 25.5, lakini makubalino ya malipo yanasema Man city italipa kwanza paundi mil 20.4 na zingine zitamaliziwa baadaye. Kusajiliwa kwa Navas ni moja kati ya mahitaji ambayo  Manuel Pellegrini anayahitaji kabla ya kusaini mkataba wa kuifundisha Man city. Imesemakana pia Pellegrini anamuhitaji Thiago wa Barcelona pamoja na Isco wa Malaga.

No comments:

Post a Comment