Saturday, June 29, 2013

Mwanamke wa Kitanzania ameanza kuvutia dunia

Video ya mwanamke mmoja wa Kitanzania muuzaji wa vitu vya sokoni inayoonesha uwezo wake wa hali ya juu wa kucheza na mpira imeanza kuvutia watazamaji wengine duniani na zaidi habari zake zimeandikwa na vyombo vya habari vingi vya kimataifa kama mwanamke mwenye kipaji ambacho kimetelekezwa. 

Mfano wa vyombo vya habari vya kimataifa vilivyomuongelea ni The Sun na Givemesport, bofya link zifuatazo kusoma habari zake kimataifa The Sun na Givemesport 

Kama ulikuwa bado hujamuona mwanamke huyu mcheki tena hapa uone uwezo wake wa kucheza na mpira. 

No comments:

Post a Comment