Monday, June 3, 2013

Neymar ameshawasili Barcelona

Mchezaji mpya wa klabu ya Barcelona Neymar amewasili ndani ya klabu ya Barcelona akitokea Brazil ambapo jana usiku alikuwa uwanjani wakati Brazil ilipocheza na England. Baada ya kuwasili alifanyiwa vipimo vya afya na kusaini mkataba wa miaka mitano.  
FOTO: MIGUEL RUIZ-FCB.
FOTO: MIGUEL RUIZ-FCB.
FOTO: MIGUEL RUIZ-FCB.
La primera foto de Neymar a Barcelona. FOTO: MIGUEL RUIZ - FCB
Check-up: Neymar looks relaxed as he undergoes the first part of his medical in a Barcelona hospital

No comments:

Post a Comment