Monday, June 3, 2013

Mourinho atambulishwa rasmi na Chelsea

Back in town: Jose Mourinho holds his Chelsea shirt after being confirmed as the new Chelsea manager
Hatimaye Jose Mourinho atambulishwa rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Chelsea kwa kipindi cha miaka minne. Mourinho alifika London jana na leo aliweza kusaini mkataba na kupiga picha ndani ya klabu. Taarifa kutoka kwenye mtandao wa Chelsea zinasema Mourinho anatarajia kutambulishwa rasmi kwa waandishi wa habari jumatatu ijayo tarehe 10 Juni kabla ya kuanza kazi rasmi.
Mourinho akiongea na Chelsea TV leo

No comments:

Post a Comment