Friday, June 7, 2013

Rafael Nadal ampiga Djokovic French Open

Allez! Nadal is on course to land his 12th Grand Slam title in Sunday's final
Nadal amefanikiwa kuingia fainali baada ya kumfunga mshindani wake Djokovic kwa seti 6-4, 3-6, 6-1, 6-7, 9-7. Kwa matokeo haya Nadal ameingia fainali kwa kukutana na Ferrer itakayofanyika jumapili tarehe 9 Juni. 

Angalia highlights ya mchezo, Utafurahia kuona viwango vya hali ya juu katika tenesi 

No comments:

Post a Comment