Wednesday, June 19, 2013

Rooney na majukumu ya familia

 photo -1A2DA47A000005DC-188_634x714_zpscc433e04.jpg
Baaada ya kupata mtoto wa pili mwezi uliopita, Wayne Rooney ameonekana akiwajibika mwenyewe kwa kuwabeba watoto peke yake kuonesha ubaba. Pichani Rooney anaonekana mpoleeeeeeeeeeee tofauti na akiwa kiwanjani, hii inaonesha mapenzi ya baba kwa familia na utambuzi wa kutofautisha majukumu ya kikazi na familia. Safiiii Rooney
 photo article-2337324-1A2DA675000005DC-646_634x763_zps6ddf0367.jpg
Rooeny akiwa amebeba watoto wote wawili na kumuacha mamaaa apumzike kidogo. Safii Rooney, ila ingekuwa bongo wangemuita Rooney mume bwege. Wabongo kwa majungu hahahaha....Wabongo tujifunze upendo kwa familia na kufanya mambo yanayotuhusu bila kusikiliza maneno ya watu

No comments:

Post a Comment