Wednesday, June 19, 2013

Mapenzi ya Mario Balotelli kwa Fanny

 photo baloboots_zpsfd495f3d.jpg
Aina mpya ya kiatu cha Mario Balotelli ambacho kina majina mawili, jina lake na jina la mpenzi wake Fanny. Kiatu hiki ndicho anachokitumia kwasasa kuonesha mapenzi yake kwa Fanny, na vilevile ikumbukwe kwamba mwezi huu Mario alimvalisha pete ya uchumba Fanny akisema yupo serious na anatarajia kumuoa hivi karibuni. 

No comments:

Post a Comment