Tuesday, June 25, 2013

Tevez atua Juventus ya Italia kwa paundi ml 10

Oh his way: Carlos Tevez is set to leave England after seven years for Juventus
Taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari nchini Italia inasema, mshambuliaji wa Man city Carlos Tevez amesajiliwa na klabu ya Juventus kwa kiasi cha paundi mil 10. Tevez aliyejiunga na City mwaka 2009 kwa paundi mil 47 kutoka Man utd anatarajiwa kwenda nchini Italia wiki hii kufanyiwa vipimo na kutambulishwa rasmi kwa washabiki. 

No comments:

Post a Comment