Tuesday, June 25, 2013

Thiago akiwa amevaa jezi ya Man utd mwaka 1999

Thiago Alcantara
Once a red: Thiago Alcantara has been pictured wearing a Manchester United shirt when he was younger
Kwenye duara nyekundu ni Thiago Alcantara kiungo wa Barcelona akiwa amevaa jezi ya Man utd mwaka 1999, mwaka ambao Man utd ilishinda makombe yote makubwa ikiwemo kombe la ligi na Uefa Champions. Picha hii inaonesha kuwa Thiago alishakuwa na mapenzi kwa Man utd tokea akiwa mdogo.  

No comments:

Post a Comment