Wednesday, July 3, 2013

First eleven (XI) ya dunia katika historia ya soka

Jarida maarufu nchini Uingereza la World Soccer mwezi uliopita liliwaomba wanasoka wote waliowahi kuwika duniani kuchagua kikosi bora cha dunia kwa kujumuisha wachezaji wote wa miaka iliyopita na sasa. Matokeo ya uchaguzi huu yalikusanywa mwishoni mwa mwezi uliopita na leo jarida la The World Soccer limetoa majibu ya uchambuzi huo. Kifuatacho ni kikosi bora kilichochaguliwa na jopo hilo la wachezaji wakongwe (The greatest XI in the history of football) 

1. Lev Yashin – Urusi Golikipa 
Penalty king: Lev Yashin is believed to have saved over 150 spotkicks

2. Cafu - Brazil - Beki wa kulia 
World Cup winner: Cafu was an incredible athlete throughout his career

3. Maldini -Italy - beki wa kushoto 
Leader: Paolo Maldini was a key player for AC Milan and Italy

4. Bobby Moore – England – beki wa kati
Decorated: Bobby Moore was the classiest of central defenders

5. Franz Beckenbauer – Germany - Beki wa kati 
Sweeper: And Germany's Franz Beckenbauer also succeeded as a manager

6. Alfredo Di Stefano – Argentina – Kiungo
Real's greatest? Alfredo di Stefano won five consecutive European Cups

7. Johan Cruyff – Holland – Kiungo
Genius: Johan Cruyff is Holland's greatest ever player

8. Zinedine Zidane – France – Kiungo
Elegant: Zinedine Zidane scored one of the greatest goals of all time

9. Diego Maradona – Argentina – Mshambuliaji 
Controversial: But Diego Maradona's talent could not be questioned

10. Pele - Brazil - Mshambuliaji
Prolific: Pele was the original Samba superstar

11. Messi - Argentina - Mshambuliaji 
The world's best: Lionel Messi is the game's most complete player today

No comments:

Post a Comment