Wednesday, July 17, 2013

Maradona amtoa mpenzi wake wa miaka 23

Perfect match? Diego Maradona appears with 23-year-old girlfriend RocÌo Oliva
Mkongwe wa soka duniani Diego Maradona jana usiku alimtoa mpenzi wake Oliva na kumpeleka kula bata kwenye kumbi za starehe kusherekea siku ya kuzaliwa binti huyo. Oliva mwenye umri wa miaka 23 amezidiwa miaka 30 na Maradona na pia ni mdogo kuliko watoto wa Maradona. Licha ya kupata malalamiko kutoka kwenye jamii inayomzunguka kwa kutoka kimapenzi na binti mdogo, lakini Maradona mwenyewe amewapuuza na kuendelea kula raha na Oliva. Mwezi uliopita Maradona alipigana na mwandishi mmoja wa habari baada ya kumpiga picha akiwa na mpenzi wake kwenye gari. Kufuatia tukio hilo waandishi wamekuwa wakijificha na kupiga picha kwa siri.   
Diego Maradona  Diego Maradona and RocÌo Oliva

No comments:

Post a Comment