Friday, July 19, 2013

Negredo na Jovetic watua Manchester City

Done deal: Alvaro Negredo with his City number nine shirt after completing his move from Sevilla
Negredo akionesha jezi yake namba tisa baada ya kusajiliwa na Man city akitokea Sevilla kwa ada ya paundi mil 20.6. Negredo amesaini mkataba wa miaka minne na atalipwa paundi 75,000 kwa wiki. 
Welcome to Manchester: Montenegrin striker Jovetic arrives at a Manchester hotel on Thursday night Welcome to Manchester: Montenegrin striker Jovetic arrives at a Manchester hotel on Thursday night
Picha hizi mbili zinamuonesha mshambuliaji mpya wa Man city Stevan Jovetic akiwa kwenye hotel ya Manchester jana usiku. Jovetic ameshasajiliwa na Man city kwa dau la paundi mil 25.8 akitokea Fiorentina na anatarajiwa kufanya vipimo leo na kusaini mkataba. Joventic anakuwa ni mchezaji wa nne kununuliwa na Man city msimu huu wa usajili. Wachezaji wengine ambao wamenunuliwa na Man city ni Fernandinho (£30m), Jesus Navas (£15m) na Negredo (£20.6m) 

No comments:

Post a Comment