Tuesday, July 2, 2013

Rais Kikwete na Obama wakionesha ujuzi wao

Rais wa Marekani Barack Obama akionesha uwezo wake wa kucheza na mpira wakati alipokuwa kwenye kituo cha umeme Ubungo jijini Dar es salaam. Mpira huu maalumu ambao una kazi nyingi ikiwemo kucheza na kutumika kama nishati walipewa Marais hawa ili kujionea kazi zake na ndipo walipojarubu kwa kuucheza. 
One, Two, Three.....danadana hizo 

President Obama heads a "soccket" soccer ball at the Ubungo Symbion power plant in Tanzania, while soccket inventor and Uncharted Play co-founder and CEO Jessica Matthews and Tanzanian President Jakaya Kikwete watch. (White House photo/Pete Souza)

No comments:

Post a Comment