Saturday, August 3, 2013

Angalia video ya kinda aliyesajiliwa na Real Madrid

Snapped up: Talented youngster Joshua Pynadath has been signed by Real Madrid
Joshua Pynadath, kinda wa Kimarekani mwenye umri wa miaka 11 aliyesajiliwa na klabu ya Real Madrid, anatarajiwa kujiunga na Madrid msimu huu kwenye timu ya academy baada ya kufunga mkataba wa mwaka mmoja 

Video Joshua akionesha utaalamu wake wa kusakata soka 

No comments:

Post a Comment