Saturday, August 3, 2013

Arsenal 2 v 2 Napoli - Emirates Cup 2013

Laurent Koscielny
Koscielny akifunga goli la kusawazisha kwa upande wa Arsenal katika dakika ya 85.
Pepe Reina
Pepe Reina golikipa mpya wa Napoli aliyesajiliwa kutoka Liverpool akiwa amedaka mpira kwenye mechi hii dhidi ya Arsenal 
Gonzalo Higuain
Higuain mchezaji mpya wa Napoli akigombania mpira na beki wa Arsenal Koscielny. Mashabiki wa Arsenal walisikika wakimzomea Higuain baada ya kuitosa klabu hiyo na kujiunga na Napoli
Benitez and Wenger
Wenger na Benitez wakibadilishana mawazo baada ya mechi kuisha 

Video Highlights 

Arsenal 2 v 2 Napoli

Arsenal: Fabianski; Jenkinson (Sagna), Mertesacker, Koscielny, Gibbs; Ramsey (Oxlade-Chamberlain), Wilshere (Arteta); Gnabry (Walcott), Rosicky, Podolski (Akpom); Giroud.
Subs not used: Martinez, Miquel, Zelalem
Scorers: Giroud 71, Koscielny 85.
Napoli: Reina; Mesto, Cannavaro, Britos (Albiol 62), Armero; Behrami (Dzemali 83), Inler, Hamsik (Mertens 65), Insigne (Dossena 75), Callejon (Maggio, 46); Pandev (Higuain, 46).
Subs not used: Rafael, Zuniga, Fernandez, Radosevic, Calaio.
Scorers: Insigne 7, Pandev 29.

No comments:

Post a Comment