Saturday, August 3, 2013

Gerrard atimiza miaka 15 akiwa na Liverpool

Here they come: Gerrard was first out of the tunnel with his children on a special day for him
Nahodha wa klabu ya Liverpool Steven Gerrard akiingia uwanjani wa watoto wake kwenye siku maalumu kusherekea miaka 15 akiwa na Liverpool. Gerrard alianza kuichezea Liverpool mwaka 1998 na hadi sasa ameshacheza mechi 630. Gerrard amesaini mkataba mpya mwezi uliopita, ukiwa ni mkataba wake wa mwisho kuichezea Liverpool, ambapo anatarajia kustaafu soka mara mkataba huu utakapoisha mwaka 2015. Katika kuadhimisha siku hii kwa Gerrard na wachezaji wengine, klabu ya Liverpool leo iliandaa mechi maalumu kati ya Liverpool na Olympiakos iliyochezwa Anfield na Liverpool kushinda magoli 2-0.  
Great occasion: Steven Gerrard (right) and Joe Allen celebrate after the latter opened the scoring
Gerrard akimkumbatia Allen baada ya kufunga goli la kwanza 
On the ball: Luis Suarez was in action for Liverpool
Suarez pia alicheza, na alishangiliwa kuliko wachezaji wote wakati anaingia dakika ya 62 kuchukua nafasi ya Aspas. Heshima ya kusimama na kupigiwa makofi na mashabiki wa Liverpool aliyopewa Suarez, inaweza kumshawishi mchezaji huyu kuendelea kubaki Anfield baada ya kuona upendo wa mashabiki wa klabu hiyo.  
Robbie Fowler Big Emile Heskey
Robbie Fowler na Heskey pia walikuwepo, na Fowler aliweza kuonesha uwezo wake kwa kucheza dakika 18
  
View from the stands: Sofia Balbi (left), wife of Luis Suarez, with their daughter Delfina
Sofia Balbi (kushoto) ni mke wa Suarez, akiwa na mtoto wake
Old friend: Former Liverpool left-back John Arne Riise (left) turned up to watch his pal Gerrard
John Arne Riise beki wa zamani wa Liverpool pia alikuwepo kwenye mechi maalumu ya Steven Gerrard
Fancy seeing you here: Roy Hodgson Fancy seeing you here: Gerard Houllier
Roy Hodgson (kocha wa England) na Gerard Houllier (kocha wa zamani wa Liverpool) pia walikuwepo kwenye mechi ya leo

No comments:

Post a Comment