Wednesday, August 7, 2013

Neymar afunga goli la kwanza kwa Barcelona

Neymar, leo amefunga goli lake la kwanza akiwa na klabu yake mpya ya Barcelona kwenye mechi ya kirafiki kati ya Thailand na Barcelona

No comments:

Post a Comment