Angalia video inayomuonesha kocha wa Chelsea Jose Mourinho alivyoumbuka akidhani goli limeingia katika mechi kati ya Chelsea na Hull. Mourinho aliumbuka baada ya refa wa akiba kumuonesha saa iliyoonesha 'No goal' teknolojia ambayo EPL imeanza kuitumia msimu huu wa ligi.
Picha zinazoonesha tukio zima la 'NO GOAL', ambapo mpira haukuweza kuvuka mstari wa kati |
No comments:
Post a Comment