Wednesday, October 23, 2013

Bado nakumbali Robinho - Neymar

Bit early: AC Milan's Robinho and Barcelona's Neymar swapped shirts at the interval of AC Milan v Barcelona
Robinho (kushoto) na Neymar (kulia) wakibadilishana jezi wakati wa mapumziko kwenye mechi kati ya Ac Milan na Barcelona. Neymar tokea udogo wake amekuwa akimpenda Robinho na alishamtembelea mara kadhaa nchini Brazil kumsalimia nyakati za udogo wake. Neymar mwenyewe aliwahi kusema ' nampenda Robinho na ningependa siku moja kuja kucheza na kuwa kama yeye'. Wiki hii baada ya mchezo kati ya Milan na Barca, Neymar alisema tena ' Bado nampenda Robinho kwasababu yeye ndiye mtu niliyekuwa nikimuangalia enzi za udogo wangu, nilitamani sana kuwa kama yeye, hivyo ataendelea kuwa mfano wa kufuata kwenye maisha yangu. Siku ya leo ni furaha kwangu kucheza mechi pamoja naye licha ya kuwa tupo timu tofauti'. 
Through the years: Neymar posted a picture of himself with his hero Robinho on Instagram on Tuesday

Pals: Robinho speaks with Neymar at the final whistle after Milan's 1-1 draw with Barcelona at the San Siro
Robinho na Neymar wakiagana baada ya mechi kuisha kwa droo ya goli 1 -1 

No comments:

Post a Comment