Sunday, October 20, 2013

Maoni ya Wanasimba baada ya mchezo

Simba 3 - 3 Yanga 

Bahati Kiputa
Kimyaaaaaa,midomo midomo tuuuuu......ha ha haaa

Titto Magawa
Habari ya mjini ni SIMBA KARUDI MCHEZONI KWA GOLI 3 AKITOKEA NYUMA. haijawah tokea tokae uzaliwe na haijalishi ww ni kijana ama mzee au kikongwe. CHEZEA MNYAMA WEWE.

Martin Mwakoba
YANGA BADO MTOTO HALALI NA HELA ANALALA NA NEPI

Yusuph Mwalupupa
zingeongezwa dakika kumi tu kunawatu vibarua vingeota nyasi leo jangwani hahaahaaa

De Ambroze Nowme
Kimyaaaaaaaaaaaaaaa mtaishia chooni tu toka lini yeboyebo zikafika sittingroom? Waaaapi.........

Besty Grace Frolian
Siamini kama nimekimbia mbio zooote, mnyama kachomoaaaaaaaaaaaaaaaa

Sinyati William
Nani kasemaa kutangulia ndo kufika

Besty Grace Frolian
Simba hawindwi kama digi digi

Bahati Kiputa
Ha ha ha ha haaaaaaaaaa!ucniulize nacheka niniiiii,mnyama mnyama jamaniii,hahahaaaaa..

Nash Juddy 
Mbona wameisoma No..........mnyamaaaaaa......

Shabiki wa Yanga alizimiaaaaaaa, ni vigumu kuamini kilichotokea. 
Mshabiki wa Simba wakishangilia kwa nguvu baada ya goli tatu kufungwa
Vikosi vya timu zote mbili 
Picture


Msimamo wa Ligi kuu hivi sasa

RnkTeamMPWDLGFGA+/-Pts
1 Azam10550156920
2 Mbeya City10550137620
3 Simba SC95301751219
4 Young Africans 9431158716
5 Mtibwa Sugar 104421612416
6 Ruvu Shooting10433129315
7 Kagera Sugar9423107314
8 JKT Ruvu10406911-212
9 Coastal Union925276111
10 Ashanti United102351019-99
11 Rhino Rangers9144812-47
12 Tanzania Prisons9144512-77
13 JKT Oljoro10136816-86
14 Mgambo JKT10127318-155
  • Relegation

No comments:

Post a Comment