Monday, October 21, 2013

Ronaldo au Ibrahimovic kwenda Brazil

Timu za taifa za Portugal na Sweden zimechaguliwa kukutana kwenye play off za kombe la dunia ambapo mshindi kati yao ndiye atakayekwenda Brazil. Mechi hii imevuta hisia za washabiki wengi wa soka kutokana na umaarufu wa Ronaldo na Ibrahimovic, wachezaji ambao kiukweli kila mtu angependa kuwaona wakishiriki kwenye michuano hii nchini Brazil. Lakini kukutana kwao kwenye play off ni wazi kwamba mmoja kati yao (Ronaldo au Ibra) atakosa kwenye michuano hii. Mechi hii pamoja na nyingine zitachezwa Novemba 15 na 19. Mechi zingine zitakuwa ni kati ya; 
Ukraine v France
Greece v Romania
Iceland v Croatia

One or the other: Ronaldo (left) will face Ibrahimovic in the play-offs One or the other: Ronaldo (left) will face Ibrahimovic in the play-offs

PORTUGAL
World ranking: 14
Best World Cup: 3rd place (1966)
2010 World Cup: Round of 16
Qualifying: Disappointing. Finished one point behind Russia having started as favourites.
Manager: Paulo Bento
Star man: Cristiano Ronaldo (Real Madrid)

SWEDEN
World ranking: 25
Best World Cup: 3rd place (1950, 1994) 
2010 World Cup: Did not qualify
Qualifying: Finished eight points adrift of Germany. Always destined for the play-offs.
Manager: Erik Hamren
Star man: Zlatan Ibrahimovic (PSG)

No comments:

Post a Comment