Friday, December 27, 2013

Malky Mackay afukuzwa kazi Cardiff

Centre of attention: Malky Mackay has been sacked by Cardiff after days of speculation
Sakata kuhusu hatma ya kocha Malky Mackay katika klabu ya Cardiff, imefika kikomo baada ya klabu hiyo kuthibitisha kuwa amefutwa kazi. Kufutwa kwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 42, kulikuwa kumebashiriwa, baada ya mmiliki wa klabu hiyo Vincent Tan, kumtumia barua pepe wiki iliyopita kumtaka ajiuzulu au afutwa kazi. Makocha ambao wametajwa kuchukua nafasi ya Mackay ni Solskjaer, Sven na Vural.

Cardiff managerial situation

No comments:

Post a Comment