Tuesday, December 31, 2013

Tello anatarajia kujiunga na Liverpool kwa mkopo

Tello move to Liverpool imminent
Winga wa Barcelona, Cristian Tello anatarajia kujiunga na Liverpool kwenye dirisha dogo mwezi January. Taarifa kutoka kwenye gazeti la Marca inasema, Tello atajiunga na Liverpool kwa mkopo hadi mwisho wa msimu. Uamuzi huu wa Tello kwenda Liverpool umekuja baada ya mchezaji huyu kukosa namba ya uhakika kwenye kikosi cha Barcelona. Hadi sasa Tello amecheza mechi 10 za ligi kati ya mechi 17 ambazo Barcelona imeshacheza. Tello ni mchezaji mwenye kasi na anauwezo wa kutumia miguu yote akicheza winga ya kulia na kushoto. 

No comments:

Post a Comment