Thursday, January 16, 2014

Anderson ahamia Fiorentina kwa mkopo

View image on Twitter
Picha hii inamuonesha kiungo wa Man utd Anderson akiwasili nchini Italia tayari kujiunga na klabu ya Fiorentina kwa mkopo hadi mwisho wa msimu. 

View image on Twitter
Anderson akiwa Airport 

No comments:

Post a Comment