Thursday, January 16, 2014

Neymar apata majeraha mguu wa kulia

BeIZ LqCEAA2B77 Neymar hobbles out of Getafe   Barcelona with freak ankle injury
Picha hii inamuonesha mshambuliaji wa Barcelona Neymar jinsi alivyoteguka mguu kwenye mechi ya kombe la ligi dhidi ya Gatafe. Majeraha haya yanaweza kumuweka benchi kwa kipindi cha wiki moja hadi mbili. Neymar alitolewa dk ya 23 na nafasi yake ilichukuliwa na Alexis. Barcelona katika mchezo huu ilishinda kwa magoli 2-0 yaliyofungwa na Lionel Messi 

Video ya tukio 

No comments:

Post a Comment