Saturday, January 18, 2014

Hawa wote wamesajiliwa na Chelsea kwenye nafasi ya kiungo tokea mwaka 2010 kwa jumla ya £230m

Shirt deals! Chelsea stars hold their club shirts up upon signing

Hii ni orodha ya viungo 15 waliosajiliwa na klabu ya Chelsea kwa kipindi cha miaka minne tokea mwaka 2010. Hakuna klabu ambayo imeweza kufanya hivi barani Ulaya na duniani kote, ni Chelsea pekee ndiyo imeweza kutumia  £230m kwa viungo tu kwa kipindi kifupi. 

Hii ni orodha ya viungo wa Man utd waliosajiliwa ndani ya miaka minne tokea mwaka 2010. Man utd imetumia jumla ya paundi mil 97 .7 ikiwa ni tofauti kubwa ukilinganisha na Chelsea waliotumia paundi mil 230. Ubabe huu wa matumizi makubwa ya pesa utajulikana leo kwenye mechi kati ya Chelsea na Man utd. 

No comments:

Post a Comment