Video: Kocha mkuu wa klabu ya Man utd, David Moyes amethibitisha mbele ya waandisha wa habari kuwa, wachezaji wake muhimu Robin Van Persie na Wayne Rooney watakosa kwenye mechi dhidi ya Chelsea itakayofanyika siku ya jumapili (wikiendi hii) kwenye uwanja wa Stamford bridge. Moyes amesema Rooney amesharudi kutoka kwenye mapumziko ya joto lakini hatakuwa fiti kwa mechi ya jumapili, lakini pia amesema RVP anatarajiwa kurudi mazoezini wiki ijayo hivyo naye hataweza kucheza dhidi ya Chelsea.
No comments:
Post a Comment