Friday, January 31, 2014

Santiago Bernabeu kuboreshwa zaidi

Klabu ya Real Madrid imetoa picha ya mpango wa kuuboresha uwanja wake wa sasa Santiago Bernabeu. Maboresho ya Bernabeu yatagharimu Euro mil 400 na utajengwa kwa miaka mitatu hadi kukamilika. Uwanja utakuwa na teknolojia nyingi za kisasa ambazo hazipo kwenye uwanja wowote duniani wa soka ikiwa pamoja kujifunga juu kwa kutumia dakika 15, 360 degree scoreboard, hotel ya nyota tano, jumba la kihistoria na mall kubwa ya kimataifa. Mpango huu wa kuboresha uwanja wa Real Madrid umekuja sambamba na watani wao wa jadi klabu ya Barcelona ambayo pia itafanya maboresho ya uwanja wake ili uwe na hadhi ya kisasa. Zifuatazo ni picha za uwanja wa Real Madrid utakavyoonekana. 

Redevelopment: Florentino Perez has announced plans to redevelop the Santiago Bernabeu
Revamp: The work will cost an estimated 400million euros
A model of the new stadium
Feature: The stadium will also feature a retractable roof
BfTyzJdCMAEbuch Real Madrid reveal plans for €400m investment of Santiago Bernabeu; Ready in 2017 [Pictures]
BfTx zhCUAAHan  Real Madrid reveal plans for €400m investment of Santiago Bernabeu; Ready in 2017 [Pictures]


Uwanja wa wapinzani, Barcelona Nou Camp utakavyokuwa baada ya maboresho

How the Nou Camp will look

No comments:

Post a Comment