Sunday, January 19, 2014

Serena atolewa Australia Open na Ana Ivanovic

Elegant: The Serb works a forehand back as she looks to get a grip on the match
Ana akipiga forehand kurudisha kitenesi kwa Serena. Msebia huyu leo ameweza kumtoa bingwa wa dunia Serena Williams kwa jumla ya seti 4-6 6-3 6-3. Ana alianzia nyuma baada ya kupigwa seti ya kwanza 4-6, na kuweza kushinda seti mbili zilizofuatia kwa 6-3 kila mmoja. Ana ambaye anashikilia nafasi ya 16 kwenye renki za tenesi duniani atakutana na Eugenie Bouchard kwenye raundi inayofuata. 

Super strength: Williams hammers a serve over the net with her perfect technique
Serena akiserve kwa nguvu dhidi ya Ana

Strain: Ivanovic powers down a serve during the match Smash! The Serb succumbed to the power of Williams at the end of the first set
Twist of the hip: A nice looking backhand from the 14th seed
Ana Ivanovic akirudisha kitenesi kwa backhand kwenye seed ya 14. Katika mchezo huu Ana ameonesha kiwango cha juu sana, na kama ataendelea hivi hadi mwisho, ataweza kuchukua kombe hili kwa mara yake ya kwanza. 

Elation: A delighted Ivanovic celebrates her success over the top seed
Stern test: The match turned into a much harder affair than Williams could have dreamed
Serena akiwa ameinama baada ya mechi kumalizika akiwa haamini kilichotokea baada ya kupigwa na Ana Ivanovic kwenye michuano mikubwa ya tenesi duniani Australia Open. Kutolewa kwa Serena kwenye michuano hii ambayo ni Grand Slam ya kwanza kwa mwaka huu itakuwa ni mwanzo mchungu kwake akiwa kama mchezaji bora wa kike. 
Devastated: Williams can't believe her performance as she crashes out
Kutolewa kwa Serena kwenye michuano hii kumepunguza ushindani kutokana na ukweli kwamba vijogoo wengine wa tenesi kawaida humuogopa sana Serena akiwa kama bingwa wa duania. Wachezaji wanaopewa nafasi ya kushinda baada ya Serena kutoka ni Sharapova, Na Li na Azarenka. 

Matokeo mengine ya Australia Open ni kama ifuatavyo 
Australian Open - Men's SinglesJanuary 18
W.O.Stanislas Wawrinka
Vasek Pospisil
FTStephane Robert676
Martin Klizan024
FTTeymuraz Gabashvili223
Roger Federer666
FTMilos Raonic36410
Grigor Dimitrov63612
FTBenoit Paire214
Roberto Bautista666
FTAndy Murray766
Feliciano Lopez242
FTJo-Wilfried Tsonga766
Gilles Simon542
FTDonald Young510
Kei Nishikori766
FTRafael Nadal666
Gael Monfils123
Australian Open - Women's SinglesJanuary 18
FTAlize Cornet16
Maria Sharapova68
FTCarla Suarez10
Dominika Cibulkova66
FTZarina Diyas14
Simona Halep66
FTJelena Jankovic67
Kurumi Nara45
FTSloane Stephens76
Elina Svitolina54
FTAgnieszka Radwanska566
Anastasia Pavlyuchenkova722
FTGarbine Muguruza476
Caroline Wozniacki653
FTYvonne Meusburger10
Victoria Azarenka66

Ana vs Serena 

No comments:

Post a Comment