Friday, February 7, 2014

Etihad kuwa uwanja wa pili kwa ukubwa Uingereza

Dramatic: An artist impression of the Etihad Stadium expansion plans, which have been given the green light
Picha hii inaonesha uwanja wa Man city utakavyoonekana baada ya maboresho. Uwanja huu wa Etihad unatarajiwa kufanyiwa maboresho kwa kuongeza idadi ya watu hadi kufikia 62,170 kutoka 47,620. Maboresho haya ya Etihad yatafanya uwanja huu kuwa wa pili kwa ukubwa nchini Uingereza kwa vilabu baada ya ule wa Man utd, Old Trafford wenye uwezo wa kubeba watu 75,731. 

Ambitious: Both ends would be lifted to accommodate more than 14,000 more fans at the Etihad Stadium
Mpango wa kuboresha utakavyokuwa Etihad


Viwanja vikubwa kwa sasa nchini Uingereza vinavyomilikiwa na klabu 

1. Old Trafford (Man United), 75,731
2. Emirates Stadium (Arsenal), 60,362
3. St James' Park (Newcastle), 52,403
4. Stadium of Light (Sunderland), 48,707
5. Etihad Stadium (Man City), 47,620
6. Anfield (Liverpool), 45,276

No comments:

Post a Comment