Tuesday, February 4, 2014

Ole G Solskjær ametaja kikosi bora cha Man utd



Mshambuliaji wa zamani wa Man utd na kocha wa sasa wa Cardiff City, Ole Gunnar Solskjær akihojiwa na Skysport ametaja kikosi na wachezaji bora ambao amewahi kucheza nao akiwa Man utd. 

Edwin van der Sar
Gary Neville
Denis Joseph Irwin 
Jaap Stam
Rio Ferdinand
Roy Keane 
Paul Scholes 
David Beckham 
Ryan Giggs (Amemtaja Giggs kuwa ni mchezaji bora kuliko wote kati ya aliyowahi kukutana nao United) 
Eric Cantona 
Ruud van Nistelrooy
Manager: Sir Alex Ferguson 

Bofya video kumsikiliza akitaja kikosi hiki na maelezo mengine kuhusu sifa za wachezaji aliyowataja

No comments:

Post a Comment