Monday, March 3, 2014

Cheki free kick ya Lionel Messi dhidi ya Almeria


Screen Shot 2014-03-03 at 14.44.46
Kiduara chekundu kinaonesha mpira ulivyokuwa mbali na goli wakati ukilekea langoni baada ya kupigwa na Lionel Messi. Huu ni ufundi wa hali ya juu wa kupiga mpira unaozunguka ukuta wa timu pinzani na kwenda moja kwa moja langoni. Cheki video hapo juu kujionea mwenyewe. 

No comments:

Post a Comment