Saturday, March 1, 2014

Kocha wa Newcastle kupewa adhabu baada ya kumpiga kichwa mchezaji wa Hull City

What was he thinking? Newcastle United manager Alan Pardew headbutts Hull City player David Meyler
Kocha wa Newcastle, Alan Pardew akimpiga kichwa mchezaji wa Hull City, David Meyler. Kitendo hiki kilitokea dakika ya 72 ya mchezo, na refa aliamuru kocha huyu kutolewa nje. Pardew anangojea adhabu kutoka shirikisho la mpira la England na pia minong'ono imeanza kutolewa kuwa kocha huyu anaweza kujiuzulu au kufukuzwa kazi na klabu yake baada ya kufanya kitendo hiki cha aibu. Katika mchezo huu Newcastle ilishinda magoli 4-1. 

Clashing point: David Meyler had to restrained by fellow player Hull City player Elmohamady

Pardew akimtwanga David



Pardew akiongea baada ya mchezo kuomba msamaha 

No comments:

Post a Comment