Monday, March 3, 2014

Maadui lakini marafiki...............

1393775861 410770 1393785185 album normal Too Cute: Cristiano Ronaldo and Diego Costa share a bromantic embrace at full time
Ronaldo akisalimiana na Diego Costa baada ya mchezo kati ya Atl. Madrid na Real Madrid kuisha ambapo timu hizi zilitoka droo ya 2-2. Ronaldo na Costa ni wapinzani wakubwa kwenye ligi ya Hispania kutokana na ushindani baina ya timu zao katika kugombea kombe la ligi, lakini pia wachezaji hawa wanashindania nafasi ya ufungaji bora wa ligi ya Hispania, kwani hadi sasa Ronaldo anaogoza kwa ufungaji akiwa na magoli 23 wakati Costa anafuatia akiwa na magoli 21. 

No comments:

Post a Comment