Tuesday, March 4, 2014

Puyol atangaza kuondoka FC Barcelona

Big blow: Barcelona defender Carles Puyol has announced he is leaving the club
Beki mkongwe wa Barcelona, Carles Puyol akiongea mbele ya waandishi wa habari juu ya nia yake ya kuondoka Barcelona. Puyol ametangaza nia hii ya kuondoka Barca mwishoni mwa msimu huu baada ya kupata matatizo kwenye goti kwa kufanyiwa upasuaji mara mbili. Puyol amesema uamuzi wake unakuja kwasababu kwasasa hawezi tena kucheza kwa kiwango kinachohitajika na klabu yake. Puyol alijiunga na Barcelona akiwa na miaka 17 na ameshaichezea klabu hii kwa miaka 14 akiwa amefunga magoli 11 na kushinda vikombe  La Liga (6), Copa del Rey (2), Champions League (3), Super Cup (2), Club World Cup (2). 

No comments:

Post a Comment