Monday, April 14, 2014

Jezi ya Arsenal ya msimu ujao iliyoliki

Gunner wear it? This could be the Arsenal kit for next season - their first Puma strip
Hii ni jezi inayosemekana ni ya klabu ya Arsenal kwa msimu ujayo iliyoliki. Jezi hii yenye logo ya mdhamini mpya wa Arsenal Puma ilionekana kwa mara ya kwanza ikiwa imeshikwa na Ozil, lakini pia shabiki mmoja wa Arsenal alionekana nayo na kukiri kuwa ndiyo jezi itakayotumika na Arsenal msimu ujao. Lakini hadi sasa hakuna taarifa rasmi kutoka klabu ya Arsenal iliyothibitisha habari hizi. 

Getting shirty: Mesut Ozil spotted in London on Tuesday Come in No 11: The £42.5million signing was carrying the Arsenal home strip
Making strides: Ozil is nearing a return to first-team action but won't feature in the Cup semi-final on Saturday

No comments:

Post a Comment