Monday, April 14, 2014

Diego Costa yupo fiti kucheza dhidi ya Chelsea

Agony: Costa clutches his leg after a hitting the upright but apparently the post came off worse
Kocha wa Atl. Madrid,  Diego Simeone amesisitiza kuwa mshambuliaji wake Diego Costa yupo fiti kucheza mechi dhidi ya Chelsea. Taarifa hizi zimetolewa na Simeone baada ya mchezaji huyu kupata majeraha kwenye mguu wake wa kushoto wakati akicheza mechi dhidi ya Gatafe. Simeone amesema majeraha aliyoyapata Costa hayawezi kumfanya mchezaji huyu kukosa mechi muhimu zijazo za Uefa champions ambazo zitachezwa wiki ijayo. 

Wounded: Blood drips from Costa's leg after he gashed it following his collision with the frame of the goal
Kovu la Diego Costa baada ya kuumia mguu

No comments:

Post a Comment