Aguero na Karina |
Sergio Aguero (24) kwasasa anatoka na star wa Pop Karina
Tejeda. Kabla ya uhusiano na Karina, Aguero alikuwa anatoka na Mtoto wa Diego Maradona kwa kipindi
kirefu kabla ya kuachana. Sergio Aguero ametamka mwenyewe kuwa mahusiano yao na Karina ni ya kweli na wapo serious. Aguero alisema anatumia muda wake vizuri kipindi hiki cha international break kukutana na Karina. Wakati huo huo Diego Maradona naye kwa sasa anatoka na binti wa miaka 22 mchezaji mpira wa timu ya wanawake nchini Argentina.
No comments:
Post a Comment