Wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrka (CAF) Azam FC wamewasili leo asubuhi kwenye uwanja wa ndege Mwalimu Nyerere jiji Dar es salaam wakitokea nchi Liberia baada ya kuchinda mchezo wao wa ugenini dhidi ya BYC katika hatua ya pili ya mashindano ya washindi barani Afrika. Mahabiki wengi wa Azam walijitokeza leo asubuhi kuwapokea mashujaa wao. Azam wanatarajia kucheza mechi ya marejeano wiki mbili zijazo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment