Yaya Toure anaweza kuondoka Man City baada ya kugombana na
uongozi wa club hiyo jana usiku kuhusu mkataba wake mpya.Seluk, ajenti wa Yaya amesema mchezaji huyo anapenda kuondoka City kwasababu uongozi wa club hiyo hauna shukrani na heshima kwa Yaya. Seluk aliongeza kuwa, Yaya anakiwango cha juu sana, anaweza kupata timu yoyote kuichezea kwa mshahara huo huo wa City au zaidi. Sekul alimalizia kwa kusema "Jumamosi itakuwa siku ya mwisho kukubaliana na uongozi wa
Man City, ikishindikana Yaya ataondoka mwishoni mwa msimu huu".
No comments:
Post a Comment