Milipuko miwili imetokea leo kwenye mbio za marathoni mjini
Boston Marekani. Milipuko hiyo imesababisha watu wengi kujeruhiwa na wawili
kupoteza maisha. Milipuko hiyo imetokea kwenye sehemu ya kumalizia
mbio “finish line”. Polisi wamesema bado wanaendelea kuchunguza vyema chanzo cha milipuko hiyo.
Watu wakiwa kwenye hekaheka baada ya milipuko mjini Boston
Idadi kubwa ya watu wakiwa wamejeruhiwa na milipuko hiyo wakingojea huduma ya kwanza
No comments:
Post a Comment