KMKM wametwaa ubingwa wa ligi kuu ya Zanzibar wakiwa bado na michezo miwili mkononi. KMKM wamefikisha pointi 46 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye ligi ya Zanzibar. Akiongea na waandishi wa habari kocha wa KMKM Bushir amesema ushindi huo ni matokeo ya jitihada za wachezaji wake walioonesha katika kipindi chote cha ligi. KMKM wataiwakilisha Zanzibar katika michuano ya kimataifa barani Afrika mwakani. Hongera KMKM
No comments:
Post a Comment